Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo zimekuja nachurale eeh??
Heshima yako mkoromije anayeongea kidhungu[emoji23][emoji23][emoji23](usinipige tu)
Habari ya leo lakini?
 
Duuu, asee, hivi siku zote walikuwa wapi?
 
[emoji382][emoji382][emoji382]Aina za chanjo na zinavyotolewa
Nchini Tanzania, chanjo zinazopatikana ni Bacille callimete-Guerin(BCG),polio ya mdomoni(OPV),deptheria-pertusisi-tetanus-hepatatis (DPT-HB),surua na antitetanus toxoid kwa wajawazito.
Pia, kuna mbili mpya zilizoanza kutumika hivi karibuni ambazo ni za homa ya mapafu(nimonia) na kuhara kunakosababishwa na kirusi cha rota. Utoaji wa chanjo hizi nchini umezinduliwa 2013.
[emoji275][emoji275]Mtoto anapozaliwa hupewa BCG na OPVo, BCG humkinga mtu asipatwe na kifua kikuu kikali na hutolewa kwa kuchomwa chini ya ngozi, OPVo hutolewa kwa njia ya matone ya mdomoni humkinga mtu asipatwe na ugonjwa wa kupooza.
[emoji274][emoji274]Baada ya wiki 4 tangu kuzaliwa mtoto hupewa DPT-HB-1 na OPV-1 hutolewa kwa pamoja kwa awamu tatu, awamu ya pili ni baada ya wiki nane na ya mwisho baada ya wiki 12.
DPT-HB hutumika kukinga magonjwa manne, yaani kifaduro, dondakoo, pepopunda na homa ya ini,hutolewa kwa njia ya sindano katika msuli wa paja la kulia.
[emoji98][emoji98]Chanjo ya surua hutolewa baada ya miezi tisa na humkinga mtoto na ugonjwa wa surua hutolewa kwa njia ya sindano ya msuli wa paja.
Pia, zipo chanjo nyingine kama vile ya kuzuia homa ya manjano, chanjo ya mafua makali yanayosababishwa na virusi.
[emoji300][emoji300][emoji300]Kuna madhara yatokanayo na chanjo?
Yapo madhara machache yanayotokana na chanjo,kama vile homa, mauimivu na uvimbe sehemu ilipopitia sindano, kichefuchefu au kutapika,mzio. Madhara haya si makubwa kuusumbua mwili.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo zimekuja nachurale eeh??
Heshima yako mkoromije anayeongea kidhungu[emoji23][emoji23][emoji23](usinipige tu)
Habari ya leo lakini?
Zimekuja nachurale shemeji. Nilikuwa nadhani nimeshavuka kipindi cha kuimba paraboz kumbe walaaaa! Hata sijui kama ninayemwimbia anajali au ananicheka tu. Haya mambo ni magumu shemeji na usiombe yakakutokea. Imagine kwako ikutokee macho yalee anayo halafu jamaa na kupika anajua anakuletea brekifasti kitandani na message professional anafanya mwenyewe halafu we unaimba paraboz jamaa yuko mbali au hajali. Utafanya nini mbali na kuumia tu kimya kimya?

[emoji117][emoji117][emoji117]Niko salama shemeji. Afadhali leo umeonekana siyo kama jana ulipita tu vu bin vuuu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…