Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Energy saver bulb zipo miaka mingi sana kwenye matumizi yetu. binafsi nimezitumia kwa namana tofauti tofauti, mahali tofaui. kuzisambaza, kuzivunja, kuziharbu nk. Leo ndiyo mara ya kwanza napata maelezo ya aina hii ukiachana na yale ya ki-umeme. Asante mkuu
 
Aseee!!!!
 
Ok
 
Wanapiga pesa kwanza
Ndiyo kawaida yao. Wanatengeneza mavidonge yenye madhara makubwa na wanajua kabisa. Watu wanakunywa weee miaka 10 huko mbele ya safari watu wanagundua kwa mavidonge yale ni mabaya. Wanashtaki na jamaa wanalipishwa dola bilioni mbili au nne wakati vidonge vyao vimeshawapatia bilioni hata 80. Naamini hata kansa ni miradi ya watu tu kupiga pesa - vita, currency collapse and the list goes on and on...
 
Sawa
 
Umesomeka
 
Marekani huko zina maonyo kabisa kuwa ikivunjika fungua madirisha upesi na toka chumbani mpaka hewa iingie kwa wingi. Na kuna vituo ambako unapaswa kuzipeleka na siyo kuzitupa hovyo hovyo. Mercury ikiingia kwenye mapafu/ardhini ni hatari huko mbele ya safari !!!
 
Sawa
 
Vema
 
Umeeleweka
 
Paraboooooz time [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
***************************************
[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji7][emoji7][emoji7][emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️[emoji173]️

I love how you make me laugh

I love how you love me back

I love everything about you

[emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182][emoji182]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…