Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Mungu wetu hajawahi kutuacha njiani pamoja na magumu yote.
Habari ya Mbagala? Hata sijui mara ya mwisho lini uliwasalimia hata kwa barua Wakoromije(hasa mama)?? Kwa sasa nipo salama kabisa ila uchovu wa safari tu
Pole sana. Nitakucheki. Koromije hawajambo. Mungu Wetu Anastahili Kuabudiwa milele [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
 
Bora tumeanza tutetewa na shujaaa zamaradi[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…