Then hapa ndio nyumbani, hata wife nimempata hapa[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekuona ona huko mkuu. Usiwe unapotea sana huku pia !!!
Hahahaha acha hizo. Naiga upole wa carbaAvatar hii jamani. Halafu tangu uanze kuitumia yaani ni kama vile umepoa kidogo. Aisee kama ni hivi afadhali tu uturudishie vurugu zetu za yule mama mwenye baiskeli na pipa lake kichwani. Kha !!!
Hahahaha poa. Nzuri kabisa,za kupotea humu?Asisahau kumwambia akiliki na kwenye akaunti yangu ili anifolo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Habari yako mkuu
Hahahaha poa. Nzuri kabisa,za kupotea humu?Asisahau kumwambia akiliki na kwenye akaunti yangu ili anifolo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Habari yako mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]UTAFITI
Utafiti unaonyesha hakuna mtu mwenye mwendo waharaka kama mtu alie zidishiwa chenji
Ukifika supu ya pweza nishtue[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]SUPU YA NGISI
Mahitaji
Ngisi kiasi
Chumvi nusu kijiko cha chai
Pilipili mtama 1/2 kijiko cha chai
Nyanya fresh moja
Ndimu/limao nusu kipande
Pilipili hoho 1/2kwa kila rangi
Maji ya mag mbili
Jinsi ya kupika safisha ngisi wako vizuri weka katika sufuria bandika jikoni weka Chumvi na pilipili mtama wacha ngisi watajitoa maji yakikauka weka maji na ndimu,pilipili hoho na Nyanya fresh moja wacha vichemke kwa dk kumi epua supu yako tayari .
Unaweza kula kwa mkate,chapati
ahahaahaaUkifika supu ya pweza nishtue[emoji13] [emoji13] [emoji23] [emoji23] [emoji124] [emoji125] [emoji125] [emoji377] [emoji377] [emoji377]
Nakuona ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Halafu wewe[emoji35][emoji35]
Unaniudhi ujue[emoji35][emoji35]Nakuona ujue[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kajojoo [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]*ujinga ni nn?*
*ujinga ni kumtumia demu mliekutana fb nauli ya kutoka mwanza to dar alafu unasema ktk maisha yako ujawai kubeti[emoji28][emoji28]*
Bajaji[emoji134] [emoji134] [emoji134] una manenooo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi ile bajaji hujaitafutia plate number mpya??