Kijana anautani na Wakwe zanguWenyewe wakisikia we jamaa[emoji3] [emoji3] cc SHIMBA ya BUYENZE, cc nsamaka, cc babe S, njooni mumjibu huyu kijana
Mimi pamoja na uzee wangu humu kwenye huu uzi ila bado wana muwangia Babe S wangu. Hasa hasa huyu MoudgulfKwahiyo ndio nishaibiwa hivyo[emoji15] au[emoji15] [emoji15]
Dah! Kweli nyani kaonewa binadamu mbayaMimi pamoja na uzee wangu humu kwenye huu uzi ila bado wana muwangia Babe S wangu. Hasa hasa huyu Moudgulf
Hahahhaahahahaa umenikumbusha mbali sana[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hako kaneno "abee" kalinimalizia pensheni yangu.
Changamoto niliyo nayo kwenye biashara ya maparachichi ni hako kaneno "abee"
Una mjua Cole wewe!!!!Muitikio wa dizaini hii huwa unanimaliza nguvu, daa! Yaani hapa Nansio ukiita mtu muitikio ni “what”? [emoji57][emoji1][emoji1] [emoji1550][emoji1550]
HahahahahaMuitikio wenyewe basi unatolewa huku pua imebanwa kidogo halafu toto lenyewe ukiliangalia limeiva limelegea legea tu mapigo ya moyo lazima yaanze kuchapuka haki ya nani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
MkuuWakuuu.
nasikia uchovu