Kwenye jukwaa hilo chungwa huitwa limao, baadaye mtu huyo huyo chungwa ataliita kwa jina lake halisi, inategemea hoja imeanzishwa na nani na kwa malengo gani. Jukwaa hilo ni pasua kichwa. Kuliko kwenda jukwaa la siasa heri utembelee intelligence ukavune maarifaKuna uzi mmoja jamaa kahoji mbona lisu kaumia zaidi mguu wa kulia na sio wa kushoto??
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mmmhDo fat Girls Slay Also..? Or they Just Occupy Space..!!
[emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]♂
Heal the world
Kabisa na nimegundua kule kuna Stupid Thinker wengi sanaKwenye jukwaa hilo chungwa huitwa limao, baadaye mtu huyo huyo chungwa ataliita kwa jina lake halisi, inategemea hoja imeanzishwa na nani na kwa malengo gani. Jukwaa hilo ni pasua kichwa. Kuliko kwenda jukwaa la siasa heri utembelee intelligence ukavune maarifa
Alitukanwa na kuambiwa tutadawiwa mabilioni,lakini leo Magu amekuwa shujaa na wale wote waliosimama upande wa wawekezaji wameaibikaKweli mnyonge mnyongeni haki yake mpeni. Kweli kupata 50% kwenye madini..... Hapo Mangu kacheza. Plus Dolla 300M
Heal the world
KWA HAYA ,MAGUFULI ANASTAHILI HONGERA. Kila nikisoma threads mbali mbali humu JF zinazomhusu Rais Magufuli,nyingi ni za kulaumu tuu. Nabaki nikijiuliza hivi Hakuna zuri hata moja analilofanya? Huku Kwetu Kilimanjaro tulizoea kuona vijana wa kilewa pombe za viroba asubuhi kweupe, sasa hivi wameshika adabu. Ilikua ukienda ofisini yoyote ya serikali au makampuni unatazamwa kama kinyago, sasa hivi kuna adabu. Na je mahospitalini? Ilikua ukifika kabla hujaeleza kilichokupeleka ,kwanza u naombwa hela ya chai,sasa hivi wamekuawaoga. Na sasa kuna Habari ya Barrick na makinikia, mzungu keshaishiwa ujanja. Jamani mbona sion hata sifa hizi zikitolewa kwa Mtukufu Rais wala hata nae akiwa kama binadamu roho yake ijisikie vizuri? Kila siku ni kulaumu tuu? I