Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kuna saa unaongeaga ukweli wa ngumi,hii comment ungeiweka jukwaa la siasa adi saiv ungekua tajiri wa mapovu. Watu hawaelewi tu kama siku imefika hata unyasi ukikudondokea unakwenda kama haijafika haijafika tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…