Yegomasika
JF-Expert Member
- Mar 21, 2009
- 13,164
- 61,278
Huyu jamaa anajua bhana acha tu
Siku nikiwa bored naingia huko kutafuta mechi za kirafiki za mapovu makali,naandika wasivyopenda ili watu watoe mapovu ya kutosha kule hawapendi kukosolewa kabisaa au kumkosoa boss wao au kuongea ukweliNdio maana mimi huwa sitii mguu wangu huko siasani. Watu walishaji brainwash, kubishana na kuitana majina kwa kwenda mbele!
Siku nikiwa bored naingia huko kutafuta mechi za kirafiki za mapovu makali,naandika wasivyopenda ili watu watoe mapovu ya kutosha kule hawapendi kukosolewa kabisaa au kumkosoa boss wao au kuongea ukweli
Nimeishia hapa kulike haya usiku mwema kesho wana like.Dunia inajizungusha kwenye mhimili wake kutoka magharibi kwenda mashariki.
Tukifika Dubai mnishushe nikale bata kwanza