Mimi huyu? Nakuzibia ridhiki? Mimi? Wiki yote hii siyo mimi ninayekujengea mazingira mazuri ya kuvunja zizi mpaka jana ukanilalamikia? Come on maaaaaan!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We bana kwa kunitilia kauzibe, kila kona yani! Hapa unachofanya ni kunicheleweshea riziki yangu tu, lakini haitapotea! [emoji23][emoji23][emoji23]
YopSera za kisiasa kwenye majukwaa ya siasa
HahahahahaJamaa wana miungu maelfu. Karibu kila kitu kinasimamiwa na mungu wake. Mpaka kujamba [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️