Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Je kutafuna Jojo Huweza Kusaidia?
Kutafuna jojo (Big G) hufanya kinywa chako kizalishe mate zaidi ambayo huweza kusaidia kuondoa tindikali kinywani mara tu baada ya kula ama kunywa. Imethibitishwa kitaalam kwamba matumizi ya jojo zisizo na sukari baada ya kula huweza kuzuia kutoboka kwa meno. Lakini, izingatiwe kwamba ni jojo zisizo na sukari tu ambazo zina uwezo huo kwakua zenye sukari huharibu meno