[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] "kakitumbua" au "limtumbua" lako tamu sana*Breaking News*!
*Sisi wakulima wa bamia na Mlenda,tunapenda kukemea tabia iliyojitokeza na watumiaji kudhalilisha mazao yetu na kuyaita Vibamia!...hizi ni dharau*!
Kwataarifa ni kwamba tunapata tabu ktk kumwagilia na kupalilia mashamba yetu!
*Sisi sio watumiaji wa mazao yetu lakin ni watumiaji wa Vitumbua na parachichi lakin hata siku moja hatujawahi kutoa kashfa ingawa wakati mwingine tunakuta kitumbua kimeungua upande na parachichi limeoza*!
Tuheshimiane twende sawa!
ukitafakari utanielewa!
#NI HAYO TU*[emoji41][emoji41][emoji41].
Naona umetoa povu
Naaaam[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Cc Andjul
Enjoy the day brother[emoji120] [emoji120] [emoji120] [emoji120]View attachment 613067
Happy Friday, everyone! [emoji1]
Napenda twins,Mungu anipe seti moja tu yaani[emoji23][emoji23][emoji23]Mapacha watatu na Mapacha wawili View attachment 613104
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimemwambia baba narudi chuo mapema kujiandaa na mitihani ya SUP eti anauliza SUP ndio nini?
Nimemjibu
"SPECIAL UNIVERSITY PEOPLE "
Naona ameniongeza hela na hongera juu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
baba angu mtu wa Mwanza[emoji23]