Katika nchi kama Jamaica, Mexico, Aruba na India, ukwaju
unachanganjwa na sukari na kuuzwa kama pipi katika mitaa na
madukani. Kula ukwajua au bidhaa zitokanazo na ukwaju kuna faida sana. Ukwaju umejaa Vitamini, fiber, potassium, magnesium na virutubisho vingine muhimu kwa afya njema.