Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

TAKWIMU zinaonesha kuwa zao la ufuta huiingizia serikali fedha nyingi ambapo asilimia 32 ya pato la taifa hutokana na mauzo ya zao hilo la mbegu.
Ufuta au sesame hujulikana kwa lugha ya kisayansi kama Sesamum indicum, hustawi na hulimwa zaidi mikoa ya kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na sehemu ya mkoa wa Ruvuma, Tunduru.
 
Walaji hulitumia kama kipooza njaa kwa kutafuna kama karanga, pia husindika mbegu hizo na kupata mafuta ya kupikia. Kwa bahati mbaya sana ni kwamba wengi wanaotumia hawatambui faida zingine za ulaji wa ufuta kiafya zaidi ya kulitumia kama lishe pekee.
 
Back
Top Bottom