TAKWIMU zinaonesha kuwa zao la ufuta huiingizia serikali fedha nyingi ambapo asilimia 32 ya pato la taifa hutokana na mauzo ya zao hilo la mbegu.
Ufuta au sesame hujulikana kwa lugha ya kisayansi kama Sesamum indicum, hustawi na hulimwa zaidi mikoa ya kusini mwa Tanzania ya Lindi, Mtwara na sehemu ya mkoa wa Ruvuma, Tunduru.