Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Zaidi, mtaalamu huyo anasema katika kutambua usahihi na malengo ya kifungua kinywa ni muhimu pia kutambua umuhimu wa lishe bora, kunywa au kula kwa muda gani na kipi kiliwe na kwa muda upi kulingana na aina hizo za chakula ikiwamo kifungua kinywa hasa uji wa ulezi.
 
ALLAAH: Mwenye Uluwhiyyah (Mwenye Uungu) na Al-‘Ubuwdiyyah (Mwenye kustahiki kuabudiwa kwa haki na viumbe vyote).
Mwenye kustahiki kupwekeshwa katika kuabudiwa kwa Alivyojisifu kwa Sifa za Uwluwhiyyah nazo ni Sifa za ukamilifu.
 
Unapokunywa uji wa ulezi asubuhi kama kifungua kinywa mara baada tu ya kutoka kitandani kabla ya kula kitu chochote huchukua nafasi kubwa sana ya kufanya siku yako kuwa bora zaidi katika majukumu yako ya siku nzima”alisema Dk. Nyampiga na kuendelea...
 
Kifungua kinywa hiki pia kinawawezesha wanafunzi kufaulu vizuri mitihani yao na kupata alama za juu kwa mitihani waliyofanya kabla ya mapumziko yao ya mchana…nguvu hizo zinazotokana na kifungua kinywa cha uji wa ulezi zimeimarisha kiwango chao cha sukari kwenye ubongo, na zimeimarisha uwezo wa kufikiri,
 
pia kuwa wasikivu.” alisema.
Pia alisema kuwa ndani ya uji wa ulezi kuna virutubisho muhimu vya kuifanya akili kufanya kazi ya kuwa na kumbukumbu na mwili kuwa na nguvu kubwa katika kumfanya mtoto awe na ari ya kujisomea ndio maana hata mama wajawazito wanashauriwa kunywa uji wa ulezi mara baada ya kujifungua ili kurudisha nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…