mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
16:1013:30
16:1013:30
Kwa kila postLikes
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] acha utani wewe hata akiperuzi muda ukifika mwafaka atapataJitahidi kupunguza kuperuzi ili upate muda wa kuwasaka twins[emoji3] [emoji3] [emoji3]
YapMchana wa kula
[emoji113] [emoji113]AL-QAYYUWM: Msimamia kila kitu.
[emoji113] [emoji113]ASW-SWAMADU: Aliyekamilika sifa za kila aina ya utukufu Wake, Mwenye kukusudiwa kwa haja zote.
[emoji113] [emoji113]AL-AWWALU: Wa Awali bila ya mwanzo.
[emoji113] [emoji113]AL-AAKHIRU: Wa Mwisho, hapana kitu baada Yake.
Kama kawaidaZinasonga mkuu
Amin [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]Nakuombea upate wawili tu tena wa kike na kiume hili wapate malezi bora
[emoji113] [emoji113]Adhw-Dhwaahiru: Aliye juu kabisa hakuna kitu juu Yake.
Zipo nyingi sana mpka unaweza kula mpka unalewaMatunda haya inaelezwa kwamba yalianza kulimwa nchini Uturuki wakati kwa hapa nyumbani yakipatikana zaidi katika Mkoa wa Dodoma.
[emoji113] [emoji113]Adhw-Dhwaahiru: Aliye juu kabisa hakuna kitu juu Yake.
Mkuu nimepita jukwaa la siasa huko hatari[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Jioni ya likesMchana wa likes
YapAisee