carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Halafu mbona anakunywa supu za ajabu ajabu lakini?mara konokono mara minyoo[emoji15][emoji15][emoji15][emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] katibu mkuu wa Chawamita Nakupenda sana ila iyo supu kunywa mwenyewe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Baby Asanteee, labda ujilete mwenyewe tuu... Unatosha[emoji6]
Doh!hizo supu kunywa mwenyewe kwakweliSupu ya konokono shemeji (Siyo "konokono")
Natamani siku moja Dr. Numbisa ashushe somo hapa kuhusu faida zake kiafya na kitiba.
Itafunika sana !!!
Halafu mbona anakunywa supu za ajabu ajabu lakini?mara konokono mara minyoo[emoji15][emoji15][emoji15]
Anadai zina virutubisho adimu[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]Halafu mbona anakunywa supu za ajabu ajabu lakini?mara konokono mara minyoo[emoji15][emoji15][emoji15]
Doh!hizo supu kunywa mwenyewe kwakweli
Unamoyo shemeji maanaNi utukutu tu na kupenda kujaribu jaribu vitu huku na huko humu...
Utuletee na al-shabab mkuu..Al-Jabbaar: Jabari, Asiyeshindwa kufanya Atakalo.
Ice cream niletee ila supu ya konokono hapana.Ile tabia ya kukuletea vizawadi na mapochopocho niachane nayo?
Vipi punda? Berbercued?
Ni kweli unataka nije mikono mitupu?
Hutaninunia?
Mh! Haya..Anadai zina virutubisho adimu[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Anadai zina virutubisho adimu[emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20] [emoji20]
Hahahaha, jf kwa udhamini wa PINDUA PINDUA na VODACOMHuko shuleni.......(ujumbe haujakamilika).[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwa udhamini wa tigo