Hujaja kuchukua na hapa nawapa mwezi ukipita hujatokea imekula kwenuUnamchosha tu dadangu na mahari hujalipa. Aaaargh !!!
OyeeeeeeeDarasa la saba[emoji23][emoji23][emoji23]
Yeah! Unakuta kula kinakula hasa si mchezo lakini kiko vile vile hakibadiliki.Kumbe vingine havinenepi aisee [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaa mimi, jana na leo nipoooo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nitaita majina
Sijashinda msela hapa mfukoni nina100 tu ya andazi kesho,vipi wewe huja bet leo[emoji23][emoji23][emoji23]We pimbi hivi bado hujashinda 3 mzuka tukajivunjali weekend hii maeneo ya bhata bhatani.
Morning KKWe pimbi hivi bado hujashinda 3 mzuka tukajivunjali weekend hii maeneo ya bhata bhatani.
Morning????Morning KK
KalalaWapi mrembo wa kisukuma?
Morning uniq japo ni giza nimetawala.Morning KK
Ahahhah yani Cole na Carba nyieeeOyeeeeeee
COLEWORLDLOVESYOU
Doh![emoji30][emoji30]Ada zinapokelewa electronically. Na zinaingia moja kwa moja kwenye akaunti yangu. Sorry [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Imekula kwetu? Kumbe hutujui wewe. Utakuja kututafuta wewe mwenyewe huku unalia [emoji23][emoji23][emoji23]Hujaja kuchukua na hapa nawapa mwezi ukipita hujatokea imekula kwenu