Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

IMG-20171021-WA0015.jpg
 
Nina usongo na uweka hazina. Haya mamisambwanda haya hayana dili. Ngoja tupige hela ikibidi tupandishe zaka iwe fungu la 20 badala ya 10. We shusha neno kali tu na miujiza mikali juu. Tutanunua hata Gulfstream kama yule baba mwenye mikwara ya malimau.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahhahaha zaka 20% hahha kuna watu wanapiga hela kwa mgongo wa kanisa
 
Back
Top Bottom