mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Hahahhahaha zaka 20% hahha kuna watu wanapiga hela kwa mgongo wa kanisaNina usongo na uweka hazina. Haya mamisambwanda haya hayana dili. Ngoja tupige hela ikibidi tupandishe zaka iwe fungu la 20 badala ya 10. We shusha neno kali tu na miujiza mikali juu. Tutanunua hata Gulfstream kama yule baba mwenye mikwara ya malimau.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aaaaah hahaha, twende sasa[emoji3]
Kijiji cha likesFuraha ilioje hapa kijijini
COLEWORLDLOVESYOU