Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Afrika imejaaliwa mimea, madini, rutuba na hali ya hewa safi.
Takribani vyakula vyote tunavyohitaji wanadamu hupatikana bara hili. Lakini pamoja na hayo uhai wetu mfupi kuzidi wengine duniani.
 
Mfano mzuri ni mimea ya baharini. Kuna mmea uitwao Kombu ambao unauchemsha na kuyatumia maji yake kwa kupikia mchuzi, chai, nk. Moja ya faida ya “Kombu” ni kukinga na kuuponyesha mwili kutokana na maradhi; pili, kuongeza nguvu za nywele, ngozi na maisha kijumla. Ndiyo maana nadra sana kumwona Mjapani asiyekua na nywele nyingi, hata akiwa mzee- huwaoni wana mvi. Mvi ni dalili ya ukosefu wa madini mwilini.
Wana afya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…