carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
Yaani nimependa hapo kwenye mabano maana panakinzana na sentensi ya pili[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kuna kisa kimoja hivi back then
Kuna binti niliwaigi kuwa nae, nikiwa nashangaa mimi kadri ninavyo kuwa muwazi kwake ndo kutokuelewana kunazidi nikawa najiuliza suluhu ni nini.
Nilipoanza kuwa namuongopea mambo yakawa fresh sasa mpaka nikawa nashangaa kwanini anakubali na kurahia uongo kiasi kile
(SIO MIMI NI STORY)
COLEWORLDLOVESYOU
Ulilala kweli?Ukweli tupu [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]
HahahahahaNa wewe mbona hujalala? [emoji23][emoji23]
Mambo ya wiki endiHulali?