Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

1508573707827.jpg
 
Wameshapigwa 2-1 mpaka sasa! Vipi, nahisi kama umevuka/uko upande wa pili wa Atlantic ocean? [emoji23]
Nope bado nipo mitaa hii hii. Nikivuka utajua tu. Mabele maliboto, matoborwa na bugali na bugadala, masangu na manumbu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23]... una utani na mzee wa liver wewe.
Wakerewe wote watani tu. Mama Tabu Mwanza Bugando pale alikuwa ananifundisha Kikerewe kile orijino kabisa enzi zileee. Alikuwa mwalimu mzuri sana sema tu sina kipaji cha lugha. Na ngoma za madogori aliniangalizisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom