Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Zuka na maua, mvinyo mwekundu na vile viatu vya mchuchumio ulivyozuka navyo jana. Ile pea ya pili alisema kaipenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Jana man u leo liver[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]We tulia mpira bado sana
Alikuja humu sijui akanivalia miwani ya mbao sijui kakimbilia wapiSawa shem. Kuna wenye bahati na wenye bahati ati! Cole lakini si yumo humu leo au fokasi ni ipieloo?
Hivi unafutaje comment[emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo ni magumu ndugu yangu. Wewe ukiona hivyo ni kupiga kimya tu halafu unapita! Vimichepuko ni viparcel vinavyoambatana na haya mambo! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Nashukuru kwa kulitambua hiloKuna mtu anaitwa Kane hatari sana
Hivi unafutaje comment[emoji23][emoji23][emoji23]
Nataka nikaifute eti
Niseme nisiseme??Zuka na maua, mvinyo mwekundu na vile viatu vya mchuchumio ulivyozuka navyo jana. Ile pea ya pili alisema kaipenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]