Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Y hujaenda[emoji26][emoji121]
Zuka na maua, mvinyo mwekundu na vile viatu vya mchuchumio ulivyozuka navyo jana. Ile pea ya pili alisema kaipenda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haya mambo ni magumu ndugu yangu. Wewe ukiona hivyo ni kupiga kimya tu halafu unapita! Vimichepuko ni viparcel vinavyoambatana na haya mambo! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]
Cole Williams naona alishagivapu. Bado formality tu za talaka naona [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Mwanamke anapotangaza mchepuko wake laivu na wewe upo maana yake nini? [emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️[emoji125]♂️
Ngoma bado mbichi !!!