Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
Nope bado nipo mitaa hii hii. Nikivuka utajua tu. Mabele maliboto, matoborwa na bugali na bugadala, masangu na manumbu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wameshapigwa 2-1 mpaka sasa! Vipi, nahisi kama umevuka/uko upande wa pili wa Atlantic ocean? [emoji23]
Tuna update tuWe tulia mpira bado sana
Sawa shem. Kuna wenye bahati na wenye bahati ati! Cole lakini si yumo humu leo au fokasi ni ipieloo?Shem ilijitype hiyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Dah...!!!
Wakerewe wote watani tu. Mama Tabu Mwanza Bugando pale alikuwa ananifundisha Kikerewe kile orijino kabisa enzi zileee. Alikuwa mwalimu mzuri sana sema tu sina kipaji cha lugha. Na ngoma za madogori aliniangalizisha [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]... una utani na mzee wa liver wewe.
Presha ikoje?Nipo mkuu
Nope bado nipo mitaa hii hii. Nikivuka utajua tu. Mabele maliboto, matoborwa na bugali na bugadala, masangu na manumbu [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Cole Williams naona alishagivapu au yuko bize kupitiliza kiasi kwamba mambo yanampita tu....Umeona eh! Inahitaji uwe na moyo wa chuma kama Cole Williams