Sio kwa upande wangu LeoUsiku wa kupeana upendo
Sio kwa upande wangu Leo
Kupendwa na mashemeji raha sana[emoji4][emoji4]Afadhali! Hicho ndo nakupendeaga shemeji langu la nguvuuu
Unalala saiv au ndo unaingia job?View attachment 614766muwe na usiku mwema wapendwa
Mahaba sio kitu cha kawaida kabisa [emoji32][emoji32][emoji32][emoji32]Hii sasa ishakuwa noma[emoji23][emoji23][emoji23]
Ngoja nikalale tu kwakweli
Umechanganyaaa....
Kimenukaaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi hatari[emoji23][emoji23][emoji23]
Najiandaa kwenda kulala tu hakuna namna
Vibaya sana[emoji23][emoji23][emoji23]
Hadi naona aibu[emoji85] [emoji85] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Utaanza upya...[emoji16][emoji16][emoji16]
Mh!Kupendwa na mashemeji raha sana[emoji4][emoji4]
Duh nshamuangusha tayar huyo mtu