Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

e5e04dc2172cf1cf39438086120363ce.jpg
 
Aaaa wapi! Ungangari wako tu na no nonsense attitude uliyonayo akiiiga na kuitumia vizuri itamfikisha mbali maishani. Wanaume wazima hapa tunapenyeza penyeza viutani kwa kuogopa unafikiri mchezo? Akianguka aanguke mwenyewe tu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Thank u ila ya humu ni asilimia 40% in real life hasa mpira, Sio ngangari kivile. Tanieni tu nimeshaanza kushiba busara za carba
 
Back
Top Bottom