Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,255
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Siyo mashemeji pekee. Unapendwa na ukoo mzima!!!Kupendwa na mashemeji raha sana[emoji4][emoji4]
Lala salama shem. Na kama unaingia kazini basi Mungu Akawe nawe maajabu yakatendeke kwa wote watakaoguswa na mkono wako [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120]View attachment 614766muwe na usiku mwema wapendwa
Muzeee ya liver uko wapi
Aaaa wapi! Ungangari wako tu na no nonsense attitude uliyonayo akiiiga na kuitumia vizuri itamfikisha mbali maishani. Wanaume wazima hapa tunapenyeza penyeza viutani kwa kuogopa unafikiri mchezo? Akianguka aanguke mwenyewe tu kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Duh nshamuangusha tayar huyo mtu
Hahahaha atakua keshaivunja vunja huko alipoMuzee ya liver nimemuita kwa telephone, naona ameinyamazisha! [emoji23][emoji23][emoji23]
Ngojeni kwanza presha ishuke jamani. Atakuja tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Muzee ya liver nimemuita kwa telephone, naona ameinyamazisha! [emoji23][emoji23][emoji23]