Chimba mkuu[emoji3] [emoji3]Uchimbwe mkwara
HahahhaaaaNgojeni kwanza presha ishuke jamani. Atakuja tu...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nalala kweli keshi jumatatuUnalala saiv au ndo unaingia job?
Jana mashabiki wa Man U mlipotea. Leo ni zamu yake. Sisi wa Aseno yaani fulu kipupwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mzee wa liver where are you?
Aseno nasubiria netball yenu na man cityJana mashabiki wa Man U mlipotea. Leo ni zamu yake. Sisi wa Aseno yaani fulu kipupwe [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahaha acha hizo jtatu nayo siku ila kulala mapema utawah kuamka kwenye saa nane za usiku usingizi kwishaNalala kweli keshi jumatatu
Hahaaa... Hii weekend haijawaacha salama watu wengi aisee! [emoji23][emoji23]