Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

7.Kupeana mbinu za kimaisha
Marafiki wanapokuwa pamoja kwa muda mrefu ni rahisi kupeana mbinu mbalimbali za kimaisha.Kwa mfano unaweza ukawa una kipaji fulan,i lakini hujijui,kwa kuwa na marafiki inakuwa rahisi wao kuona kipaji chako na kukupa mbinu namna ya kukiendeleza.
 
8.Hukujengea kujiamini zaidi
Unapokuwa unajichanganya marafiki wengi itakusaidia sana kujiamini.Kwa ikitokea siku ukakutana na marafiki wako wote wa kwenye mitandao wa kijamii na kupewa muda wa kuwasilisha mada fulani mbele yao.Ukifanikiwa hilo zoezi basi nakuhakikishia kuwa utakuwa umejijengea hali ya kujiamini sana.
 
Last seen yake ni leo saa kumi
Watani wake naona huwa anapishana nao. Mke wake mwenza (Carba) akimkuta humu utaona. X wake KK na waliokuwa wnajaribu kumuweka ndani (Moudgulf) pamoja na Bob. Wote hawa akiwakuta na Andjul mwenyewe akiwepo ndo utasikilizia muziki wake sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Watani wake naona huwa anapishana nao. Mke wake mwenza (Carba) akimkuta humu utaona. X wake KK na waliokuwa wnajaribu kumuweka ndani (Moudgulf) pamoja na Bob. Wote hawa akiwakuta na Andjul mwenyewe akiwepo ndo utasikilizia muziki wake sasa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Pia afya yake sijui ameshapona ka isa au bado anamalizia dozi
 
1.Usitunze hela nyingi benki kwa muda mrefu labda ya biashara au tahadhari.
Hapa mwandishi anajaribu kuelezea kwamba ukiweka hela benki inazidi kushuka thamani na pia itakuwa inapungua kwa sababu benki wanakata tozo la kukutunzia hela yako.Hata kama utaweka kwenye akaunti yenye riba basi riba yenyewe haizidi asilimia nne(4%) baada ya miezi mitatu.
 
2.Namna nzuri ya kuongeza kipato ni kuwekeza.Hapa anasisitiza kuwa tuwe na tabia ya kuzungusha hela tuliyonayo hata kama ni ndogo.Hela hiyo itazalisha nyingine na hatimaye zitakuwa nyingi zaidi.
 
3.Jijengee tabia ya kununua hisa.Mwandishi alielezea kwa mapana sana sehemu hii na kusema kwamba kuna makampuni mengi sana yanauza hisa.Cha msingi ni wewe ufanye utafiti ni kampuni ipi inafanya vizuri kwenye soko ili nawe uweze kununua hisa zao.Kwa wake ambao hawaelewi inakuwaje ni hivi;ukinunua hisa kwenye kampuni fulani basi nawe unakuwa mmiliki wa ile kampuni.Kila mwisho wa mwaka kunakuwa na gawio la faida iliyopatikana kutokana asilimia ya hisa zako ulizonunua.Wenye hisa nyingi wanapata gawio kubwa na kinyume chake.Kama kampuni imepata hasara basi kunakuwa hamna gawio labda ukitaka uuze hisa zako kwa mtu mwingine kwa bei ya juu kuliko uliyonunulia.
 
5.Usiogope kuwekeza hata kama kuna mtikisiko wa uchumi.Mtikisiko wa uchumi unatokea na huwa unaisha kwa hiyo usiogope kwani pindi mtikisiko ukiisha unaanza kutengeneza faida kama kawaida.
 
6.Usiwekeze kwenye makampuni madogo,wekeza kwenye kampuni kubwa.Makampuni madogo mara nyingi mwisho wa mwaka hasara zinakuwa nyingi kuliko faida.Anashauri uwekeze kwenye makampuni makubwa kwa mfano hapa kwetu Tanzania kuna kampuni kama ya sigara,mabenki,saruji wanafanya vizuri sana kwenye soko la hisa.
 
7.Wekeza kidogokidogo kila mwezi kwenye makampuni mengi.Mwandishi alishauri kamwe usiwekeze hela zako zote kwenye kampuni moja kwani ikifilisika utaumia sana.Cha msingi wekeza kwenye makampuni mengi kiasi kwamba hayawezi kufilisika yote kwa mpigo.
 
Back
Top Bottom