Alishasema zaidi ya mara moja kuwa keshapona kabisa japo alikuwa bado na safari za kwenda Bugando..
Kama ni hivyo basi ni fair game. Kula naye sahani moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].Yaan jana alifurah sana akasahau na jumong ilipo
Aah kutype tu ni kazi rahisi. Lengo hapa ni kula likes.kusingekua na likes wala asingejishughulisha kurusha nondo za man u ikifungwa. Udumu uzi wa likesss kama mzee wa liver 4-1Kama ni hivyo basi ni fair game. Kula naye sahani moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
[emoji117][emoji117][emoji117]Nyie mashabiki. Jifunzeni kuwa kama Mzee Rutta. Nadhani ni MU kufa na kuzikana lakini huwezi kujua. Jana alikuwa anashusha tu matokeo timu yake ikiadhirika bila wasiwasi wo wote. Huo ndo ushabiki mpevu sasa !!!