mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaa mzee wa jumong
Word Numbisa Mimi hata wafungwe mia nipo kama kawaidaMipira majanga ila kuogopa maneno ya kutype nayo utumwa unazuka tu mnataniana yanaisha
12:2322:50
Ndio mpira unamatokeo ya kikatili kweliPole jaman
Nazi mbovuUsigombane na mkwezi Nazi imeliwa na mwezi
Du mkuki kwa nguruwe[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Sana jana ulifurah
Yetu muhimuUpendo wetu ndio nguzo
Siyo kweli. Kama ni kweli basi we siyo mshabiki (wa kweli!) [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Word Numbisa Mimi hata wafungwe mia nipo kama kawaida
Usiache mbachao kwa msala upitao
Numbisa imetoshaKho kho kho 4-1
Kufungwa kwa liver huko[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Dadake leo uko sungusungu, au “umekata”?[emoji23][emoji23]
Una maini tuUlimi hauna mfupa
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bora wamechapwa leo pasingekalika hapa
AMUN RA23:01
VictoryHiyo ni alama ya ushindi duniani kote mkuu. Ningekuwa na akaunti ya Instagram ningemtwanga "Pipoooooooooooooz" halafu nisikilizie jibu lake. You never know [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kupoteza pesa kwenye ni nadra sana kama umemaster skills zote na kwenda ni kipindi yaani news za kila muda tweet moja ya trump inaweza kukuacha solembaJaribu jibapa...On a serious note, pole sana. There is always tomorrow (kwenye Forex). Huko kwenye kamari (betting) no comment.
Kuna jamaa hapa alikuwa ananiambia kuwa ana mbinu bullet proof ya Forex hakuna kupoteza pesa. Ni stori tu au inawezekana kweli mtu akawa na ujanja huo hasa ukizingatia utata wa biashara yenyewe?