Naam Kiongozi.Destiny child...
Nelly ft p.diddy shake ya tailfeatherWelcome to Nellyville
Hiki Kibao hakifai kwa Watoto hata kidogo.Nelly ft p.diddy shake ya tailfeather
Intro diddy anasalimia kinikia moja kwa kiespanol hollaa..Hiki Kibao hakifai kwa Watoto hata kidogo.
Video yake kuna kipande kama kumbukumbu yangu iko sawa,
Nelly anamchezea Makalio mmoja wa Mademu wanaoTwerk ndani ya Video hiyo.
Kitambo Kiongozi