Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Lakini hali hiyo haikumzuia bosi wa United Jose Mourinho kumpa Ibrahimovic mkataba mpya utakaombakisha Old Trafford hadi mwisho wa kampeni hizi.
Raiola anaamini supastaa huyo bado ana muda mwingi wa kucheza, iwe ni United au pengine popote licha ya kuwa nje kwa sababu ya majeraha ya muda mrefu ya goti.
 
Bado amebakiwa na uwezo mwingi. Nadhani kuna miaka isiyopungua mitano au sita mbele yake. Sitamkubalia kuacha kucheza, anatakiwa afanye kazi kwa ajili yangu," The Sun lilimnukuu.
"Nimemfanyia kazi kwa miaka kadhaa. Sasa ni zamu yangu anifanyie kazi. Watoto wangu wamekuwa na nahitaji pesa. Tumekubaliana kwamba atanifanyia kazi kwa miaka mitano sasa. Mshahara unakuja kwangu naye atachukua kamisheni.
Legendari wa Man United Andy Cole alibainisha wiki hii kuwa Ibrahimovic amedhamiria kurudi kikosi cha kwanza kabla ya mwisho wa mwaka.
 
Baada ya ushindi wa mabao 4-0, dhidi ya Njombe Mji, kikosi cha Simba kinatarajia kuondoka Dar es Salaam, kuelekea Visiwani Zanzibar, kwa ajili ya kuweka kambi ya siku tano kujiandaa na mchezo unaofuata wa Ligi Kuu ya Tanzania Bara, dhidi ya Yanga.
Msemaji mkuu wa Simba, Haji Manara, ameiambia Goal, timu hiyo itaondoka Dar es Salaam saa 3 asubuhi na itawasili Zanzibar majira ya saa 5, na moja kwa moja wataingia kambini kwa ajili ya kuanza maandalizi kwenye uwanja wa Aman Zanzibar.
 
Tumekusudia kushinda mchezo huo nimechi ngumu kwasababu tunacheza na timu ambayo tunaupinzani nayo lakini pia tofauti yetu na wao kwa pointi nindogo, ndiyo maana tumejipanga kuhakikisha tunapata matokeo ya ushindi," amesema Manara
Katika hatua nyingine kocha wa timu hiyo Joseph Omog, amewapongeza wachezaji wake kwa jitihada kubwa walizozionyesha hadi kupata ushindi wa mabao 4-0 dhidi ya timu ya Njombe Mji.
 
Omog amesema wachezaji wake walicheza kwa nguvu wakijua mtihani uliopo mbele yetu na kitu cha kufurahisha nikwamba tumepata idadi kubwa ya mabao ambayo itaendelea kuwa akiba kwetu na tutaendelea kufanya hivyo katika mechi zijazo lengo ni kutwaa ubingwa mapema kwa pointi hata mabao.
 
Simba sasa imefikisha pointi 15, sawa na Mtibwa Sugar, zote zikiwa zimecheza mechi saba, na mabingwa watetezi Yanga wana pointi 12 lakini wakiwa nyuma kwa mchezo mmoja nyuma ambapo leo wanacheza na Stand United uwanja wa CCM Kambarage Shinyanga.
 
Back
Top Bottom