Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Pulu teboo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
dd3fa7a306926d19f2d2a6d4ede7ae85.jpg
hatarii
 
unaweza ukala tunda la zeituni au ukatumia Mafuta yake extra virgin oil kwa kupikia chakula, yana bei ya juu kidogo yanapatikana supermarkets kwa bei tofauti kulingana na brands na ujazo.
Mazuri kwa watoto pia wa miezi 6 na kuendelea kupikiwa kwenye vyakula inakuza ubongo.
 
Olive oil hayana calories nyingi kama ️Mafuta mengine.
Wenye ngozi kavu tumia pia, massage ya watoto wachanga au wakubwa tumia (ukishikwa na misuli tumia kuchua)
Kutumia kwa urembo wa nywele husaidia kukuza nywele zilizo katika au ️ kujikunja(fungamana) unaweza changanya parachichi na mafuta ya olive oil ukapaka na kuosha baada ya dk 20-30 ️Au ukachanganya mayai na olive oil.
 
Back
Top Bottom