Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Nakushauri tu ubaki makapuku acha kuleta mifarakano hapa. Awe ni yeye au sio yeye sie haituhusu. Please leave him alone. Mbona wenzio wastaarabu sana na wapo forum yao hata wakija huku wanachat kistaarabu
Sina mifarakano na mtu na sina nia mbaya na mtu..
Nilikua tu natoa dukuduku langu.
Upo bibie..
 
Nakushauri tu ubaki makapuku acha kuleta mifarakano hapa. Awe ni yeye au sio yeye sie haituhusu. Please leave him alone. Mbona wenzio wastaarabu sana na wapo forum yao hata wakija huku wanachat kistaarabu
Mtu kaja na jembe, sululu, panga, anachimbua weee hadi kero. Mungu asaidie kusichafuke huku maana tutakosa kwa kupumzikia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…