Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Soul mate[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]uuwiii
Subiri nikatafute ile nyimbo yaNapokeaje sasa hata kuiangalia siwezi. You are the love of my life
COLEWORLDLOVESYOU
Ndiyo maana siku hizi ni vurugu mechi tupu. Ndoa zimekuwa kama michezo ya kuigiza...Ni wachache sana wataelewa na kukubaliana na huu ukweli,hizi ahadi na fedha ni vichocheo tu sema siku hizi ndio tumefanya ni vitu vya msingi sana
[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani siyo soul mate?
Kuna mwingine?
Siku hizi hakuna ndoa kuna harusiNdiyo maana siku hizi ni vurugu mechi tupu. Ndoa zimekuwa kama michezo ya kuigiza...
Kama kuna kaukweli fulani hivi.Siku hizi hakuna ndoa kuna harusi
Aaggrrr[emoji34][emoji34][emoji34]
Kusingizia mtu makosa yako ni kujipa faraja tu ya nafsi(ambayo nayo ni ya muda tu)na kujipunguzia ile sense of guilty.Amini instinct yako mwenyewe,makosa yako ni yako , badala ya kumsingizia mwingine.
Siku hizi hakuna ndoa kuna harusi
Aaggrrr[emoji34][emoji34][emoji34]
Duuh[emoji22] [emoji22] yaan hata jkt hukwenda ila hivi vipigo utaniua aiseeh punguza hata kishuzi dogo.Si kwavile husikii na ni mbishi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ameeeen na Mungu aisimamieKama kuna kaukweli fulani hivi.
Isipokuwa ndoa yangu tu basi....
Kusingizia mtu makosa yako ni kujipa faraja tu ya nafsi(ambayo nayo ni ya muda tu)na kujipunguzia ile sense of guilty.
Kama ninavyosemaga hapa kila siku, usiulize majibu kwenye mtihani usiokuwa na maswali....Ameeeen na Mungu aisimamie
Sijui niulize lile swali chokozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ndio mana nikasema siku hizi kuna "harusi" na si "ndoa"Harusi ni sherehe tu ya mapenzi.
Uaminifu , wenza, kuvumiliana na taabu ni muda wowote uliopo ndani ya ndoa.
[emoji23][emoji23][emoji23]Duuh[emoji22] [emoji22] yaan hata jkt hukwenda ila hivi vipigo utaniua aiseeh punguza hata kishuzi dogo.