Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
[emoji23] [emoji23] [emoji23] upo makini kwenye upupu siku nakutafutia ukufashe hadi macho hayo[emoji23][emoji23][emoji23]
Halafu kamwangalie alosto kule kaja na upupu wake
Na ontop of all akuongoze na kukukuza kiimaniTafuta mwenza anayekutia moyo katika maendeleo, ambaye hatakuangusha , atakayekufanya utikise dunia. Epuka mwenzi ambaye mkazo wake ni kula bata bataz you know....
Kweli tupu shemeji.Na ontop of all akuongoze na kukukuza kiimani
Shida inakuja utatuaje kama huyu/hiko unachoamini ni sahihiUkiamini sana unaweza kudanganywa, na utaishi kwa taabu, labda uwe umeamini kitu sahihi.
Kweli..Njia moja tu ya kumfanya mwanaume awe mkweli ni kumwamini.