Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Hongera !!!

Welcome to adulthood [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kichwa unamshauri mvulana sio mwanaume. Huyu jamaa mwandiko wake tu unajieleza
Kabisa. Mwanaume demu unayemzimikia kahamia kwako halafu unakuja JF kulalamika eti unajisikia vibaya?

Denti huyo kazukiwa laivu sasa kakinai hajui la kufanya [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…