Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wewe hebu acha hizo kwahiyo wataka kusema nsamaka anamkumbuka andjul?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
tapatalk_1508980513769.jpg
 
Vitamini ni virutubisho vya lishe vipatikanavyo katika vyakula mbalimbali, na virutubisho hivi ni muhimu katika kusaidia mwili katika utendaji kazi wa mifumo mbalimbali . Kuna makundi mawili ya vitamini. Moja ni kundi la vitamini zinazochanganyika katika maji nazo ni vitamini B na vitamini C, na pili ni aina za vitamini zinazochanganyika katika mafuta nazo ni A,D,E na K.
 
Back
Top Bottom