Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

bdced7420796b0af8618943925971dda.jpg
 
Kirutubisho hiki ni muhimu kwa ukuaji na afya bora, ambapo huimarisha kinga ya mwili na husaidia afya ya macho na kuona vyema. Vitamini A hutusaidia kuepukana na upofu wa kuona usiku,pia husaidia kuona vyema nyakati za mchana. Beta carotene ni muhimu kwa sababu huondoa sumu mwilini zijulikanazo kama free radicals, na hii ni ile
 
Beta carotinoidi hupatikana katika vyakula vya asili ya mimea kama, Matunda ya njano kama machungwa,papai,embe,tipisi(pitches) na zabibu za pink. Pia vitamini hii hupatikana katika mboga kama, karoti,maboga,viazi vitamu, majani vya viazi vitamu (tembere),pilipili na spinachi. Kwa kawaida rangi ya njano ya matunda na mbogamboga iliyokoa sana inaashiria uwepo kwa wingi wa beta carotinoidi.
 
Upungufu wa vitamini A, husababisha kutokuona usiku, ukavu wa macho kwa kushindwa kutengeneza machozi, upofu,ngozi kavu, kupoteza uwezo wa kunusa na kukosa hamu ya kula. Upungufu wa vitamini hii husababisha mtu kuwa na kinga dhaifu hivyo kushambuliwa na maradhi.
 
Epuka kutumia vitamini A kutoka virutubisho vya kununua dukani bila ushauri wa mtaalamu wa lishe au daktari, pata ushauri wa mfamasia dhidi ya matumizi bora ya Vitamini A. Dozi kubwa za vitamini A kutoka katika virutubisho vya dukani zaweza kukuletea madhara.
 
Ulaji wa mboga aina ya brokoli (broccoli) waweza kupunguza uwezekano wa kupata magonjwa hatari ya moyo, kisukari aina ya pili, pia aina mbalimbali za saratani. Dutu zijulikanazo kama flavonoids katika vyakula hivi, husaidia mwili kuweza kupambana na maradhi hayo hatari yanayotishia maisha ya walio wengi.
 
Mount Kilimanjaro, with its three volcanic cones, "Kibo", "Mawenzi", and "Shira", is a dormant volcano in Tanzania. It is the highest mountain in Africa, and rises approximately 4,900 metres from its base to 5,895 metres above sea level
 

Attachments

  • upload_2017-10-26_9-36-30.jpeg
    upload_2017-10-26_9-36-30.jpeg
    8.9 KB · Views: 30
Watu walao mboga zenye kiasi kikubwa cha dutu hizo huwa na uwezekano mdogo wa kupata maradhi hayo hatari" anasema Dr Jack Juvik wa kitivo cha sayansi ya vinasaba kutoka chuo hicho. Anaendelea kusema kuwa, " kwa kuwa miili yetu haiwezi kutengeneza dutu hizo, hivyo basi ni muhimu kuhakikisha kuwa tunakula vyakula vyenye virutubisho ili kuboresha afya ya miili yetu".
 
Stevia ni aina ya dutu ambayo ni tamu na hutumika kama mbadala wa sukari na hupatikana kutoka kwenye majani ya mmea ujulikanao kitaalam kama Stevia rebaudiana. Ladha tamu ya jani la mmea wa stevia ni mara 30 zaidi ukilinganisha na ladha tamu ya sukari, lakini stevia iliyosafishwa (purified stevia) ina ladha tamu mara 300 ukilinganisha na ladha ya sukari.
 
Mmea wa stevia umekuwa ukitumika na watu wa
kabila la Guarani kwa zaidi ya miaka 1500 huko Amerika ya kusini. Mnamo mwaka 2011, Umoja
wa Ulaya ulithibitisha matumizi ya stevia katika vyakula, na huko Japani imekuwa ikitumika kwa miongo kadhaa sasa.
 
Back
Top Bottom