Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Magonjwa ya tumbo-Msongo ni mojawapo ya kisababishi cha magonjwa ya tumbo kama kiungulia sugu, maumivu ya tumbo , hata vidonda vya tumbo pia. Kiwango kikubwa cha homoni ya cortisol wakati wa msongo, ni mojawapo ya sababu ambayo husababisha vidonda vya tumbo.