Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Wakati mwingine... Unapozidi kuwapa watu nafasi Mara nyingi... Unajipunguzia heshima kwa hao watu/mtu, wanachukulia unawahitaji sana kuwa karibu nao ndo maana unatoa nafasi tena na tena... . Hivyo basi, thamani yako inashuka kwao kila siku maana wanajua wakati wowote watakukosea kisha utawapa nafasi tena.... Hasa kwenye mahusiano kila siku unakosewa tu... Unasamehe.. Hapo mtu hajajitambulisha hata kwa marafiki zako... Anakukosea unasamehe! Unadhani huyo mtu anakuona wa thamani tena? Anaona kuna kitu nawe unafaidi... . . Usiwe mtumwa, kuna watu hawastahili nafasi zote hizo...wala usiwachekee fanya maamuzi magumu na sahihi ili baadae usijute kuachia hizo nafasi ambazo zitageuka kuwa mwiba kwako
 
1. Ukifanya makosa - Omba samahani
.
2. Kama una furaha - Ioneshe
.
3. Ukikwama - Omba msaada
.
4. Kama unampenda mtu - mwambie.... Sasahivi! .
.
5. Ukitongozwa na mke/mume wa mtu - kimbia, block mawasiliano
.
6. Ukiumizwa kwenye mahusiano - Usilielie, usitafute huruma... Move on! .
.
7. Usipofanya kazi - hautakula, tafuta shughuli ya kukuingizia kipato
.
8. Familia yako - iwe kipaumbele cha kwanza, tenga muda kufurahi na watu wako
.
9. Mjinga anayekudharau - mwombee aishi akikuona unavyopiga hatua zaidi yake, tabasamu
.
10. Majivuno - kiboko yake mavumbi, wote tutapitia huko
 
South African Bernard Goosen twice scaled Mt. Kilimanjaro in a wheelchair. His first summit, in 2003, took nine days; his second, four years later, took only six. Born with cerebral palsy, Goosen used a modified wheelchair, mostly without assistance, to climb the mountain.
 
*Nikiwa nimechoka najiamulia tu kupiga simu police:*
*Mimi:* Hello afande nipo hapa naona watu kibao wamekufa...

*Afande:* Kiongozi tuambie mahali ulipo tuje sasa hivi...
*Mimi:*Nipo hapa makaburini...[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
WIFE: honey let's play a game.
HUSBAND: okay. What's the game about?
WIFE: if i mention a fruit, you'll run to the left side of the room and touch the wall, if i mention a color, you'll run to the right side of the room and touch the wall. If u run to the wrong direction, you'll give me all your salary for this month.
HUSBAND: Okay! And if u fail in ur turn, I'll have your salary too ryt?
WIFE: [emoji2](smiles) yes darling!
HUSBAND: okay. (stands up ready to run in any direction)
You start
WIFE: Orange![emoji15]

4 HOURS NOW...

The husband is still standing on the spot wondering if she meant the fruit or the color.

Moral lesson... After God, Fear women,
 
3 months to 2018 but the only thing you've saved so far......are nude pics in your gallery.My friend you need 100litres of anointing oil so that satan will stop playing candy crush with your life.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji41][emoji41][emoji41]
 
Back
Top Bottom