[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Gerezani kuna maneno
Jamaa mmoja alifungwa gerezani miaka 2 kwa kesi ya kumbaka ng'ombe sasa kila jumatano ni siku ya kula wali na nyama ya ng'ombe hapo ndo utawasikia wafungwa wakisema leo ni siku ya kula wali na shemeji_[emoji23][emoji23][emoji13]