Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Shkamo shemeji kivuruge
 
Nawamiss hamjui tu,nivile siwezi kaaa humu mda mrefu,nikiwa vizuri nitarudi shemeji
 
Nawamiss hamjui tu,nivile siwezi kaaa humu mda mrefu,nikiwa vizuri nitarudi shemeji
Najua. Pole sana. Mungu Aendelee kukubariki na kukuongoza. Kawapiganie shemeji na mkono wako ukawaguse na kuwaponya [emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120][emoji120].
Utatukuta!!!
 

Koh koh... Sijui nimepaliwa nini? Nakurupuka toka usingizini saa hii nakutana na madongo kama haya! [emoji23][emoji23][emoji23] carbamazepine, hujambo aisee? Long time no see! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
 
Mwalimu wa somo la hisabati aliandika ubaoni

*36x + yx, 2/3yx + 3x (66y + 12x).b = 0*

Akamwambia Salim atatue tatizo.

Salim alichukua dasta akafuta ubao akamwambia mwalimu tatizo limeisha.

[emoji38][emoji38][emoji38].....

Matatizo yetu mengine yanahitaji dasta tu. Fuuutaaa [emoji112][emoji112].

Haina haja yakuumiza kichwa na matatizo ambayo hatuwezi kuyasolve. Ni kufuta tu[emoji125]
 
Koh koh... Sijui nimepaliwa nini? Nakurupuka toka usingizini saa hii nakutana na madongo kama haya! [emoji23][emoji23][emoji23] carbamazepine, hujambo aisee? Long time no see! [emoji23][emoji23][emoji124][emoji124]
Sijambo aiseeh!habari ya kuamka?
Halafu shemeji kivuruge karudi jiandae[emoji23][emoji23][emoji23]
Me simo!tena napita hivi[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Sijambo aiseeh!habari ya kuamka?
Halafu shemeji kivuruge karudi jiandae[emoji23][emoji23][emoji23]
Me simo!tena napita hivi[emoji124] [emoji124] [emoji124]

Habari poa kabisa! Nimemuona, ameshaanza talalila zake! Si wanasema kelele za chura hazimzuii ng’ombe kunywa maji, au nimekosea? [emoji23][emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…