[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Vizuri sana mwanawasu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi nimeshindwa mimi mwanawasu, na ndoa ya hao wawili iendelee kishamiri! [emoji23][emoji23]
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Vizuri sana mwanawasu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Yegoo unalia tena mwanawasu... basi lia salama tena kwa nguvu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125][emoji15][emoji24][emoji24][emoji24][emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Yegomasika is singo endi availabo, enewani ini hiya? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]hepa kweli nimwe macho doh!Kama vile siyo wewe uliyekuwa unampa insomnia huyu binti unakesha ukibembeleza. Leo hii unamuombea aendelee kukohoa tu. Roho mbaya ya nini? Au ni fukuto la sizitaki mbichi hizi?
Carba kuwa macho. Mapenzi yakija kuisha nawe utaombewa uendelee kukohoa. Baki njia kuu mama [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]pole eehKimeanza sahv baada ya kupita hapo jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sijui umbea
Mapinduzi mzunguko"[emoji23][emoji23][emoji23]Kuna siku mlipanga mtoko wa wikiendi. Baadaye mkaanza kuitana "mate". Nikakodoa macho wee bahati nzuri siku hiyo nadhani kulikuwa na ipieloo mate wako akakimbilia huko. Yaani bro ameanza kuwa na ukaribu kwako kuliko alivyo na ukaribu na mkewe. Mapinduzi mzunguko yanapikwa ama? Haya yakitokea aisee sikubali. Akinipindua nami nampindua hata kama ni violent revolution potelea mbali [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ahsantee... Ila dawa nimekunywa kimepoa[emoji5] [emoji81][emoji23][emoji23][emoji23]pole eeh
Me nawaangalia tuNafuatilia hiki kizungumkuti kinachoendelea. Hawa mates hawa we acha tu.
Yegoo unalia tena mwanawasu... basi lia salama tena kwa nguvu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Yegomasika is singo endi availabo, enewani ini hiya? [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tumeutilia mashaka kwa muda mrefu sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Weeeeeee Thubutuuuu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukaribu kwangu mbona ni wa kawaida tuu jamanii
"Jemedari anayeshambulia kila mahali hujichosha bure na ushindi kwake ni ndoto"Aisee, usinifanye nihamishie majeshi yangu kwa jakitoo: Ooh, shauri yako! [emoji23][emoji23][emoji1550][emoji1550]