Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kufuli haliwezi kutengenezwa bila ufunguo, hivyo Mungu hawezi achia tatizo bila majibu.
Ni hitaji tu la kufungulia linalohitajika.
​
Tatizo letu tunapapara sana na hasa tunapopata matatizo tunatamani yaishe haraka sana tunasahau kama tunatakiwa kuwa na subra(subira).
Subra ndio kila kitu mana wanasema
"Kheri yao wenye subra mana Mungu yupamoja nao".
Asante shem kwa ujumbe huu[emoji120][emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…