Danny Rose na Ben Davies nao wamepona majeraha na hivyo wataiongezea nguvu Tottenham
Kwa upande wa Spurs, habari kuwa Mousa Dembele amerejea kwenye mazoezi kikosi cha kwanza zimeongeza nguvu kwa timu, lakini Victor Wanyama na Erik Lamela wataendelea kukaa nje.
Vikosi vinavyotarajiwa
Manchester Utd XI: De Gea; Valencia, Smalling, Jones, Darmian; Blind, Matic; Young, Mkhitaryan, Martial; Lukaku
Tottenham XI: Lloris; Alderweireld, Sanchez, Vertonghen; Trippier, Dembele, Dier, Davies; Eriksen, Dele; Kane
Manchester United v Tottenham Dondoo za Kubeti
Man United wanapewa nafasi kubwa kushinda katika uwiano wa 11/10. Spurs ni 5/2 to kushinda, wakati sare ni 23/20.
Romelu Lukaku anapewa 20/21 kufunga wakati wowote, wakati Harry Kane ni 11/10 kufunga katika mechi hiyo.