Utajuuta kupelekeshwa kama house boyNi aibu na fedheha kuishi na mwanamke ambaye wakwe zako wanajua kuwa anakuzidi uwezo.
AiseeeNi aibu na fedheha kumuoa mwanamke ambaye anamiliki uchumi wa familia hata watoto anasomesha yeye wewe unajivunia uume mkubwa au urefu wa kimo
Asante mkuu kula na wwTupooooooooo kula like
Yaan watoto watahesabu wao ni upande wa mama yao tuNi aibu na fedheha kila likizo unaenda kijijini kwa mkeo na watoto wote kisa yeye anazo hela
Hapo sasaNi aibu na fedheha kukaa miaka mingi unamlaumu mkeo kuwa hazai wakati wewe huna hata mtoto wa kusingiziwa
UtateswajeeeNi aibu na fedheha kumrudia mwanamke aliye kuacha yeye mwenyewe kipindi kirefu na akaamua kukurudia yeye mwenyewe tena kwa masharti kutoka kwake.
Ndoa itakua ndoanoNi aibu na fedheha kupewa zawadi ya kiwanja na wakwe zako siku ya send off.